Drake alithibitisha Nicki Minaj na Meel Mill kuvalishana pete ya
uchumba? Hilo ni swali ambalo linakuja baada ya “Take Care” rapper Drake
kumuita Nicki Minaj kwenye stage wakati wa concert ya Coachella na
kumpongeza, lakini hakusema anampongeza kwa lipi lakini hilo linatufanya
tuamini kwamba alimpongeza kwa
ajili ya kuvalishwa pete ya uchumba na
mkali The Philly native rapper MMG signee “Amen” rapper Meek Mill
…Lakini tunajua kwamba Drake bado anamtaka Nicki!!Lakini kila mtu ana haki wa kuchagua nani anampenda katika maisha yake,
ndo maana Nicki Minaj aliachana na mpenzi wake wa zamani Safaree na sasa
yuko katuliza moyo wake kwa Meek Mill.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment