Baada ya kuachia “Birthday Cake” na “No Body”, Chriss Brown na Rihanna
waliachana na ilidhaniwa hakuna ngoma nyingine kutoka wawili hao ambao
the broke the internet siku za nyuma, wakati bado tunafikiria bishara
yao ilishaisha lakini kupitia mitandao imetoka ngoma nyingine ambayo
imewahusisha wawili
hao inayoitwa “Put It Up”.Ngoma hiyo kali slow jam wanaongelea miili ya kila mmoja it is love song naweza kusema, na kuna uvumi kwamba ngoma hiyo ya “Put It Up” ilipangwa iwepo kwenye albamu ya Chriss Brown ya “X” lakini Rih Rih aka Bad gal Riri alisema asingeweza kuiachia baada ya kuachana

0 comments:
Post a Comment