“Goodies” singer Ciara anaweza akawa anajaribu kuanza mahusiano tena
baada ya kuachana na baba wa mtoto wake “Future”, lakini inaonekana
kama mwanadada huyo ametua mikononi mwa QB Russel Wilson.
Wilson alikutwa Mariners akiwa na mwanamke lakini watu wanahisi Yule rafiki aliyekuwa nae alikuwa ni mwanadadiva…
“Goodies”
singer Ciara anaweza akawa anajaribu kuanza mahusiano tena baada ya
kuachana na baba wa mtoto wake “Future”, lakini inaonekana kama
mwanadada huyo ametua mikononi mwa QB Russel Wilson.
Wilson alikutwa Mariners akiwa na mwanamke lakini watu wanahisi Yule
rafiki aliyekuwa nae alikuwa ni mwanadadiva Ciara, Cici alipost picha
kwenye ukurasa wake wa instagram akionekana amevaa miwani sawa na wale
wanawake w aliyekaa na Wilson. Yule lazima ni Ciara angali hiyo
picha…..Bcoz she is single by now I wish her well…..


0 comments:
Post a Comment