Kufatia Siku yake kubwa ya kuzaliwa iliyofanyika siku mbili zilizopita
mwimbaji kutoka Nigeria, Iyanya, aliachia wimbo mpya "Finito" ajili ya
mashabiki zake Na leo hii ameamua kuachia video ya wimbo huo, inayomuonyesha yeye na
crew yake wakicheza the best dance moves kutoka Nigeria. Video hiyo
imetengenezwa na Maleek Berry na kuongozwa na video director kutoka
Zimbabwe, Teekay
cheki video hapa chini

0 comments:
Post a Comment