Pages

Marekani kusaidia Israel kujilinda

Iron Dome

Marekani imepitisha mswada unaotoa msaada wa kifedha kwa Israel kuimarisha mfumo wake wa kujilinda dhidi ya makombora.Mswada huo unatoa dola millioni mia mbili na ishirini na tano kuimarisha mfumo huo ambao umetumiwa kuyatungua makombora kadhaa ya roketi kutoka kwa wapiganaji wa kipalestina katika

majuma ya hivi karibuni.Mpango huo wa fedha hatahivyo ni sharti upitishwe na bunge la wawakilishi na kutiwa sahihi na rais Obama.Waandishi wanasema kuwa wabunge wa Marekani wamekuwa wakiunga mkono Israel hivyobasi mswada huo huenda usikabiliwe na vikwazo vyovyote.


0 comments:

Post a Comment

SEARCH CHOCHOTE HAPA

CLOCK

soundcloud

Subscribe all latest updates via Facebook

CHAGUA LUGHA YAKO

DOWNLOA NEW SONG



Seif-@Tv

LIKE US ON FACEBOOK

SOMA HABARI KWA MIEZI

Latest News

JIUNGE NASI KUPITIA HAPA

WAGENI WANAOTEMBELEA

Flag Counter

KUHUSU MMILIKI WA BLOG

MKALI KTK POZI,,,!!!

MKALI KTK POZI,,,!!!
Hi Guyz...!!! iz me seiph love jonas,,,wa kitaa...

WASANII DUNIANI

  • SAM WA KITAA

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-2 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-3 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-4 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE