![]() |
| Wapalestina wakikimbia mshambulizi ya Israel huko Rafah ,Gaza Kusini.(31.07.2014) |
Labels:
JAMII,
MATUKIO,
WALIJUA HILI..?
Hamas kuzuwiya operesheni za Israel
Posted by
Sam
Naibu waziri wa mambo ya nje wa Hamas Gazi Hamad amesema hawatokubali kuiachia Israel kuendelea kufanya operesheni zake huko Gaza.Amesema "Huko ni kwenda kinyume na makubaliano hayo na Israel haina haki kuendelea na opresheni hizo za kijeshi kwa sababu watazitumia kubomowa nyumba zaidi na kuifanya ifanye itakavyo na wakati huo huo Wapalestina wakitakiwa wanyamaze kimya hii si haki.Iwapo Israel itaendelea na operesheni hizo ni haki yetu kujihami na kuchukuwa hatua zinazohitajika."
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment