Mtoto
mchanga, amekutwa ametupwa pembezoni mwa barabara ya Kawe-Beach, huku
puani na mdomoni akiwa amefungwa plasta, iliyosababisha kukosa pumzi na
kufariki.
Katika hali isiyo ya kawaida mwanamke mmoja ambaye hakujulikana jina lake wala kujua anapoishi,

anasadikika kutenda ukatili
na unyama wa hali juu kwa kumuua huyo mwanaye na kisha kumtupa
pembezoni mwa barabara hiyo.
Wavuvi wa eneo hilo waliona mfuko pembezoni ukiwa na damu hali ambayo iliwashtua na kuamua kusogea karibu, ndipo walipomkuta mtoto huyo mwenye jinsi ya kike, akiwa amefariki huku akiwa amefungwa plasta mdomoni na puani.

0 comments:
Post a Comment