Taarifa ambazo zimetufikia hivi punde zinasema kuwa Askofu Mkuu wa
Evangelistic Assemblies God Tanzania, Moses Kulola amefariki dunia
takriban dakika 25 zilizopita.
Kwa mujibu wa taarifa za kuaminika ambazo zinaeleza kuwa Askofu Kulola amefariki katika hospitali ya AMI (African Medical Investments) iliyopo Slipway jijini Dar es Salaam.

Askofu Kulola, ambaye amezaliwa mwaka 1928, amekuwa akisumbuliwa na
maradhi kwa muda mrefu na hata kufikia hatua ya kupelekwa nchini India
kwa matibabu.
Katika uhai wake, amepata watoto wengi wa kiroho ikiwemo Dr Daniel Kulola, Mchungaji Florian Katunzi, Zakaria Kakobe, Mzee wa Upako, Maboya, Mwasota na wengineo wengi

0 comments:
Post a Comment