Tarehe 24 mwezi wa tisa ndiyo tarehe ambayo Drake anatarajia kutoa
album yake ambayo ndani kuna track kama Started from the bottom na
nyingine. Leo kupitia website yake ametoa cover za album hiyo ambayo
inaitwa
Nothing was the same. Cheki muonekano wake na tusubili mwezi
ujao album ikitoka.


