![]() |
| wema katika pozi |
Wema sepetu kuchukua hatua za kisheria kwa kila anayetumia jina lake
kutangaza show bila kuwa na mawasiliano au makubaliano naye.... kwa
kuonesha mfano ameamua kuwafungulia mashitaka kamati ya miss high
learning inayofanyika leo kwa kutumia jina lake katika matangazo ya show
yao ambayo hatakuwepo.


0 comments:
Post a Comment