Pages

OPRAH WINFREY MWANAMKE MWENYE MSHIKO MREFU KULIKO WOTE DUNIANI




Ukizungumzia Mwanamke mwenye upeo mkubwa na mwenye maendeleo duniani basi hautakosa kusikia
Jina ili kwenye Masikio yako......OPRAH WINFREY.. Oprah ambae amejipatia umaarufu kupitia kipindi chake 
cha televisheni cha Utangazaji kilichokuwa kinaeenda kwa jina la Oprah Winfrey Show na sasa kinaitwa OWN....
Mwanamama huyo aliezaliwa Mwaka wa 1954,January 29 ndani ya nchi ya Marekani jiji la Mississipi....!!
Mwanamama huyo kwa sasa ndie mwanamke mwenye kisu kirefu na kikali zaidi duniani kwa mujibu wa
mtandao wa FORBES yanii hapa nikimaanisha ni mwanamama mwenye hela nyingi 
kupita wanawake wote duniani na ndie mwanamke mwenye ushawishi mkubwa kwenye maswala ya kijamii....!!
Mwenye utajiri ufikiao Dolla za Kimarekani 423 kwa mwaka 2012-2013 june....
Bado akiwa amechangia vitu vingi kama miradi ya maji kwenye bara la Afrika na sehemu mbalimbali

Afrika na duniani kiujumla...... Kwenye List hiyo Oprah ameweza kukaa akiongoza kwa
muda wa miaka 6 akiwa mwanamke mwenye mshiko mrefu huku anaemfatia kwa nyuma ni Beyonce & Lady Gaga 
ambae amewaacha kwa mbali kabisa.....! Makala ya leo nakuletea Picha kadhaa za mwanamke
huyu mwenye nguvu ya kipesa na mjenngo ambao anaumiliki wenye thamani ya dola za kimarekani mil 62....
Zicheki picha 3 Kuona mjengo huo...!!
Hili ndio jumba la mwanama Oprah linavyoonekana kwa upana....!!

Kwa Upande wa Juu wa Kulia hivi ndivyo inavyoonekana...!!

Oprah akiwa na Rais wa Taifa Lake Barack Obama na First Lady Mama Mitchelle Obama...!!


0 comments:

Post a Comment

SEARCH CHOCHOTE HAPA

CLOCK

soundcloud

Subscribe all latest updates via Facebook

CHAGUA LUGHA YAKO

DOWNLOA NEW SONG



Seif-@Tv

LIKE US ON FACEBOOK

SOMA HABARI KWA MIEZI

Latest News

JIUNGE NASI KUPITIA HAPA

WAGENI WANAOTEMBELEA

Flag Counter

KUHUSU MMILIKI WA BLOG

MKALI KTK POZI,,,!!!

MKALI KTK POZI,,,!!!
Hi Guyz...!!! iz me seiph love jonas,,,wa kitaa...

WASANII DUNIANI

  • SAM WA KITAA

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-2 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-3 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-4 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE