Wanajeshi
ni elfu 10, air force, and navy officers, 12,000 police na 1,700 elite security
forces… ambapo utumiaji wa Mask ulipigwa marufuku kwa yeyote kuziba uso kwa
namna hiyo wakati wa ziara ya Pope Francis.
Kwa
mujibu wa AFP, Brazil ilitarajia kutumia $52 million kwa ulinzi kwenye ujio wa
Pope…
Waziri
wa ulinzi wa Brazil alitaka Pope atumie gari lenye ulinzi wa kitaalamu wa
kijeshi kwenye ziara yake lakini yeye na vatikan wakakataa




