Pages

Askari polisi 6 wameuawa katika mlipuko katika rasi ya Sinai Misri

Polisi 6 wauawa katika mlipuko Sinai
Polisi hao waliuawa na bomu lililokuwa limetegwa kando ya barabara ilipolipuka msafara wa polisi ukipita. Maafisa wawili zaidi walijeruhiwa vibaya katika tukio hilo. Wanamgambo katika rasi ya Sinai wameendeleza mashambulizi zaidi haswa baada ya kung'olewa mamlakani kwa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Mohammed Morsi mwaka uliopita.

Kundi la wapiganji wa Ansar Beit al-Maqdis wanaohusishwa na Al Qaeda ndio waliodai kutekeleza shambulizi hilo.Shambulizi hili la leo lilitokea katika barabara ya kutoka mji wa rafah Kuelekea mpaka wa Palestina wa Gaza.
Kundi hilo linadai kulipiza kisasi mauaji ya maelfu ya waislamu waliouawa katika mapinduzi ya Morsi.

0 comments:

Post a Comment

SEARCH CHOCHOTE HAPA

CLOCK

soundcloud

Subscribe all latest updates via Facebook

CHAGUA LUGHA YAKO

DOWNLOA NEW SONG



Seif-@Tv

LIKE US ON FACEBOOK

SOMA HABARI KWA MIEZI

Latest News

JIUNGE NASI KUPITIA HAPA

WAGENI WANAOTEMBELEA

Flag Counter

KUHUSU MMILIKI WA BLOG

MKALI KTK POZI,,,!!!

MKALI KTK POZI,,,!!!
Hi Guyz...!!! iz me seiph love jonas,,,wa kitaa...

WASANII DUNIANI

  • SAM WA KITAA

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-2 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-3 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-4 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE
  • HEADING-5 GOES HERE

    DESCRIPTION GOES HERE