binti mdogo mwenye miaka 21 na mpenzi wake mwenye miaka 25 wameamua kukatisha safari ya maisha yao kwa kujirusha mbele ya train na kuacha noti yenye maneno :Two great people are going to paradise:
kisa chote kinatokana na mama wa binti Ariana O'Neal kwa kukataa mapenz ya wawili hawa
David na Ariana walikua wakiishi jijini New York, katika mapenzi yao waliwahi kukamatwa na polisi kwa kuhusika na wizi wa vito kutoka kwenye duka la kuuza vito.


