Mwanamuziki wa Hiphop Bongo,Emanuel
Elibarik‘Nay wa Mitego’na Mkurugenzi wa Benchmark Production Rita
Paulsen‘Madam Rita’wamemaliza bifu lao bifu lao baada ya kupiga picha ya
pamoja katika uzinduzi wa video ya staa wa Bongo Fleva,Abdul
Nasib‘Diamond Platinumz’uliofanyika kwenye hotel ya Selena,Posta,Dar.
Wawili hao walipiga picha hiyo kwenye red
carpet huku wakikumbatiana kama kulikuwa hakuna bifu kati yao huku kila
mmoja akiwa na furaha.
Hivi karibuni Madam Rita alitangaza kumpeleka Nay mahakamani baada ya kumdisi kwenye ngoma yake mpya ya salamu zao kuwa wasanii wanaotoka kwenye BSS wengi wana maisha duni ingawa wanapewa mkwanja mrefu,kama Wolter Chilambo alishinda mill.50 lakini ana maisha duni.
Hata hivyo Nay wa Mitego alipotafutwa kuzungumzia kumaliza bifu lake na Madam Rita hakupatikana kwenye simu.
Mwanamuziki wa Hiphop Bongo,Emanuel Elibarik‘Nay wa Mitego’na Mkurugenzi wa Benchmark Production Rita Paulsen‘Madam Rita’wamemaliza bifu lao bifu lao baada ya kupiga picha ya pamoja katika uzinduzi wa video ya staa wa Bongo Fleva,Abdul Nasib‘Diamond Platinumz’uliofanyika kwenye hotel ya Selena,Posta,Dar. Wawili hao walipiga picha hiyo kwenye red carpet huku wakikumbatiana kama kulikuwa hakuna bifu kati yao huku kila mmoja akiwa na furaha.
Hivi karibuni Madam Rita alitangaza kumpeleka Nay mahakamani baada ya kumdisi kwenye ngoma yake mpya ya salamu zao kuwa wasanii wanaotoka kwenye BSS wengi wana maisha duni ingawa wanapewa mkwanja mrefu,kama Wolter Chilambo alishinda mill.50 lakini ana maisha duni.
Hata hivyo Nay wa Mitego alipotafutwa kuzungumzia kumaliza bifu lake na Madam Rita hakupatikana kwenye simu.

0 comments:
Post a Comment