Siku chache baada ya kutangaza kuzindua filamu yake mpya "Foolish Age" ,
lulu ametoa statement inayoonyesha kuwa kumekuwa na maneno ya kuwa
filamu hiyi imezuiliwa na bodi ya ukaguzi wa filamu.
kupitia acc yake ya Instagram, Lulu amesisitiza kuwa Filamu yake imeshakaguliwa na tayari ameshapata kibali kuendelea na uzinduzi huo



0 comments:
Post a Comment