![]() |
| huu ndio ujumbe alioandika Ray c kwa mashabiki wake |
![]() |
| hapa ni Ray c na mh Rais Kikwete. |
Hii ni kupitia page yake ya Instagram ambapo staa huyu wa
longtime kitambo Tanzania Rehema Chalamila (Ray C) inaonekana amemis
kufanya muziki, ni long time kidogo toka apate matatizo kwenye afya yake
yaliyosababisha kusimama kufanya muziki japo aliwahi kuongea na
millardayo.com kuhusu plan zake kubwa za muziki 2011/2012



0 comments:
Post a Comment