Msanii aliewahi kushiriki katika mchakato wa kuwapata wakali kutoka kila mikoa A.K.A Super Nyota 2013, Edu Boy ambae anawakilisha Mwanza, amedondosha mzigo wake mpya akiwa na Jux "Mwanadamu" chini ya peroduction za Mona Gangastar, Classic Sounds.Sikiliza hapa chini
0 comments:
Post a Comment